Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,073
- 34,844
Mhhhhh! Dr MziziMkavu mpaka kwenye mapishi pia!!!! Dah weye MKAREEE mie nilifikiria kwenye zile kwato za fisi tu na manyoya ya mkia wa tembo 🙂🙂 ndio utaalamu wako ulikolalia kumbe mpaka mekoni upo!!! dah!!! Hongera zako. Huwezi kulala na njaa kwa kula majunk food.
Kuna siku alinirusha roho huyo alipika mchuzi wa samaki hadi nkauota lol..
Vipi lile pishi la pilipili bado unaendelea?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
lol!!!!! yaani unaota mapishi mpaka usingizini dah!!!! Wanaume wengi wa miaka hii hawaoni nomaa kuingia jikoni kufanya vitu vyao ukilinganisha na ile miaka iliyopita. Na kama mnaishi nyumba yenu na si zile [/FONT]za kupanga za vyumba sita basi zoezi la mwanaume kuingia jkoni linakuwa rahisi zaidi.
Majunk food yalinishinda ikabidi nijue kupika angalau vyakula vichache na hivyo vyakula vichache nimekuwa ni mtaalamu.
Hebu nialike siku moja nije nionje mapishi yako....
Nsije tu kujing'ata vidole kwa utamu lol...
Hakika Mungu amemjalia vipaji vingi!Mhhhhh! Dr MziziMkavu mpaka kwenye mapishi pia!!!! Dah weye MKAREEE mie nilifikiria kwenye zile kwato za fisi tu na manyoya ya mkia wa tembo 🙂🙂 ndio utaalamu wako ulikolalia kumbe mpaka mekoni upo!!! dah!!! Hongera zako. Huwezi kulala na njaa kwa kula majunk food.
Teh teh teh!amekutia hamu!Pweza huyu mtantoa roho jamani...
Kesho naenda kumnunua lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hakika Mungu amemjalia vipaji vingi!
Ukiolewa na huyu jamaa utafaidi sana maisha!Kuna siku alinirusha roho huyo alipika mchuzi wa samaki hadi nkauota lol..
Vipi lile pishi la pilipili bado unaendelea?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Unakula ugali weye!!! hahahahah lol!!! na nyama ya kuchoma kwa kachumbari? Kama huna matatizo basi karibu sana..😛lane:
Ukiolewa na huyu jamaa utafaidi sana maisha!
Umenikumbusha mbali sana mkuu,kuna watu nilisoma nao walikuwa wachoyo sana wa elimu,yaani akiwa anakijua kitu hataki na wengine wakijue!Pia ana roho nzuri sana na ni mstaarabu na muungwana wa hali ya juu.
Pia ana roho nzuri sana na ni mstaarabu na muungwana wa hali ya juu.
Teh teh teh!vipi shemeji yangu yupo vifi pande hii?
Ugali Ntakula ivo ivo kufuata hiyo nyama lol...na kachumbari napenda sana
Teh teh teh!vipi shemeji yangu yupo viti pande hii?