Unajua kuwa mwanadamu ana mkia?

Unajua kuwa mwanadamu ana mkia?

Nakuchukia sana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
596
Reaction score
1,190
Historia imetueleza kuwa mwanadamu hapo kale alikuwa nyani,zaid ya miaka 2,000,000 iliyopita.Naukimtazam nyani ana mkia,ila mwanadamu hana.Je mkia ulienda wap?...mwanadamu alizidi kubadilika kutoka kizaz hadi kizaz.Na mkia ukakosa kazi maana mwanadam akuuhitaj tena.Ila viumbe yote veny backbone vina mkia,binadamu akiw miongon mwao.Ila mkia wa mwanadam haukui upo constant.
 
Back
Top Bottom