chriss brown JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 292 Reaction score 63 Dec 16, 2011 Thread starter #21 HEART said: Yaaani maneno yako mwenyewe yanajikanyaga...! Unaposema kila mtu kaumbwa na mtu wake so haiwezekani ku-share unamaanisha nini wakati wewe unataka watu wafanye sharing juu yako....hebu KAJIPANGE ndo urudi hapa..it seems HUJIELEWI! Click to expand... najielewa heart,we ndo hujielewi.
HEART said: Yaaani maneno yako mwenyewe yanajikanyaga...! Unaposema kila mtu kaumbwa na mtu wake so haiwezekani ku-share unamaanisha nini wakati wewe unataka watu wafanye sharing juu yako....hebu KAJIPANGE ndo urudi hapa..it seems HUJIELEWI! Click to expand... najielewa heart,we ndo hujielewi.
chriss brown JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 292 Reaction score 63 Dec 16, 2011 Thread starter #22 Henge said: acha wivu na nyumba ndogo wewe fanya wivu kwa mkeo kama watu wamefika bei wacha waoe, Mpende mkeo vimeo achana navyo! Click to expand... Nyumba ndogo ya rafiki yako alipotokea?umeona wapi?c wivu.ila ni aibu kwake.
Henge said: acha wivu na nyumba ndogo wewe fanya wivu kwa mkeo kama watu wamefika bei wacha waoe, Mpende mkeo vimeo achana navyo! Click to expand... Nyumba ndogo ya rafiki yako alipotokea?umeona wapi?c wivu.ila ni aibu kwake.
chriss brown JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 292 Reaction score 63 Dec 16, 2011 Thread starter #23 sister said: hajui kujinadi nin? mwaga sera upewe ushindi, uipiti kizembezembe. Click to expand... staki kujinadi,we kama unajinad kimpango wako cster
sister said: hajui kujinadi nin? mwaga sera upewe ushindi, uipiti kizembezembe. Click to expand... staki kujinadi,we kama unajinad kimpango wako cster
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Dec 16, 2011 #24 Teh!Kama unawako tayari achia hiyo na wenzio ambao hawana wamiliki mkuu.Utakulaje tonge mbilimbili wakati wenzio hawana hata moja bana?
Teh!Kama unawako tayari achia hiyo na wenzio ambao hawana wamiliki mkuu.Utakulaje tonge mbilimbili wakati wenzio hawana hata moja bana?
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Dec 16, 2011 #25 thread nyingine hovyo. .
mka JF-Expert Member Joined Nov 14, 2010 Posts 318 Reaction score 82 Dec 16, 2011 #26 Haya mambo yenu ungepeleka huko huko facebook.