Unajiuza, hujiuzi?

Pyepyepye

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
1,940
3,834
Umekwenda kwake siku ya kwanza tu, amekujunjua, hauna tofauti na wanaojiuza, sema wewe hujipangi barabarani.
 
Kama unajua mtaishia kunjunjana na umeshadhamiria na kuridhoka kabisaa kwamba hauna kinyongo na mnjunjo, kwanini muendelee kuuweka usiku? Inatofauti gani kunjunjwa siku ya kwanza au kunjunjwa baada ya muda hata kama ni mwaka?

Kama sio mke na mme mnakosea
 
WOTE MTAKUWA MNAJIUZA MMOJA ANANUNUA SIKU HYO HYO NA MWINGINE ANAUZA SIKU HYO HYO
 
Huyo ndiye mwenye nafasi kubwa kwangu.
Anayenisumbua kwa Calendar sipendi.
 
Back
Top Bottom