Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,232
- 62,394
kwa kuoa mke mzuri tutakaye saidiana naye uzeeniJe ,wewe unajiandaaje na maisha ya uzeeni?
Haahhaah. Tupunguze kujiandaa aisee. Kujiandaa sana ni dalili ya uogaYaani haya maisha usipokuwa makini utakufa ukiwa unajiandaa tu:
- Ukiwa mtoto unajiandaa na shule
- Ukiwa shule unajiandaa na kazi au ajira
- Ukiwa na kazi unajiandaa na uzer
- Ukiwa mzee unajiandaa na kifo
Umeishi lini sasa?
Alafu usipojiandaa, kuna uwezekano wa kuishi miaka mingi ya mateso; na ukijiandaa baada ya muda mfupi unakutana na kifo.Yaani haya maisha usipokuwa makini utakufa ukiwa unajiandaa tu:
- Ukiwa mtoto unajiandaa na shule
- Ukiwa shule unajiandaa na kazi au ajira
- Ukiwa na kazi unajiandaa na uzer
- Ukiwa mzee unajiandaa na kifo
Umeishi lini sasa?
Huyo atakutelekeza πkwa kuoa mke mzuri tutakaye saidiana naye uzeeni
Wengine wamefika mbali mpaka kujiandaa kwenye mazishi yakeHaahhaah. Tupunguze kujiandaa aisee. Kujiandaa sana ni dalili ya uoga
Utakaposhindwa kujihudumiaUzee ni kuanzia miaka mingapi usikute nimeshazeeka halafu hata sijajiandaaπ
Uzee unakuja, ngozi uliyonayo itakuwa ''oversize''Heeee hata ya kesho sjayandaa , sembuse ya uzeeniππππ
Na ukiziponda unazawadiwa miaka mingi ya matesoPonda mali kufa kwajaaa...
If the Money you have doesn't solve the problems you have, Eat that Money.
Future isn't guaranteed...ππ
Tupo, tunaimarisha uwezo wa macho kuonajf kuna mzee wa 70s kweli atuambie
Hakuna maisha mengine tofauti na haya ya duniani.Na ukiziponda unazawadiwa miaka mingi ya mateso
Tukifaa tunajiandaa na adhabu za kaburi. HaloooWengine wamefika mbali mpaka kujiandaa kwenye mazishi yake
Ukiondoka duniani faili lako linakuwa limefungwaHakuna maisha mengine tofauti na haya ya duniani.