Unaikumbuka Chelsea ya 2004/05

Unaikumbuka Chelsea ya 2004/05

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,110
Reaction score
9,619
Ilikuwa ndio msimu wa kwanza wa Jose Mourinho ndani ya kikosi hiki cha Chelsea.
Chelsea walichukua ubingwa wa EPL kwa point 95 ambazo hazijawahi kufikiwa na timu yoyote mpaka leo, huku wakiruhusu magoli 15 tu ndani ya EPL wakimaliza msimu kwa kufungwa mechi moja tu. Je unaikumbuka Chelsea hii? Karibuni tukumbushane...
51371891-1206x602.jpg
 
Super Frank Lampard

Claudio Makelele makata umeme kutoka Los Blancos

William Galasy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom