Kuna technologies za bei nafuu sana ambazo ni quite fascinating, moja wapo ni hii Google cardboard!
Google cardboard inacost about $10-$20, inatumika pamoja na simu kama Virtual reality viewer, kwa ambao hawajui Virtual reality ni nini, kwa explanation rahisi kabisa, reality manake ni uhalisia, real environment, unaweza uka touch, uka smell, ukaona, uka-interact unavotaka na real world.. ukiongeza neno virtual Virtual reality, hizi ni environments zinazotengenezwa kwenye computer, unaweza kuinteract nazo kwa kutumia sensors, vitu kama controllers...
Sasa google cardboard ni just a box na two lensens, unachukua unaweka machoni then unafungua virtual reality content kupitia simu yako.. Kuna apps chache sasa hivi, kama Youtube app, Google maps, the most fascinating thing, ukivaa hii cardboard, unaona vitu katika dimension zake kama ambavo ingekua in real life, ukubwa, umbali, everything mfano Youtube app, ukiweka music, screen unayoiona ni kubwa mno, size kama ya theatre screen vile, na kuna app VR Cinema unaweka your own movie unakaa unaangalia ka uko theatre vile, massive screen, na quality ni nzuri kama content ni at least kuanzia 720p.. Ukifungua google street view, its almost as if you are there.. kwa $10 technology wameachieve something awesome.. wenye simu za kueleweka jaribu kununua utest.. I'm sure hautokua dissapointed...