Unaifafanuaje picha hii

Hapo ongezea pembe za ndovu,vifaru. usisahau live animals kama twiga,swala na madini. Vyote hivyo vitakuwa ndani ya hiyo gari.
 
ha ha ha, inamaana hawajui waendako? maana hawajui nyuma wapi mbele wapi. haha, hiki kipanya kinautani na sisiemu, kitaviziwa kikiingia kwenye shimo wanajaza huko maji kinafia huko huko :attention:
 
Huyu Kipanya anaelekea amezichoka kucha zake.

Tiba
 
Nawe unahitaji ufafanuzi yameingiaje humo wakati milango imefungwa? Au sivyo eeh...

We unauliza madawa ya kulevya yameingiaje ktk tumbo la "punda" (GREEN GUARD) wakati mdomo umefungwa?
Ulishawahi kujiuliza hayo madawa yanamezwaje? na kwanini wanatumia condom kuyameza?
 
Kipanya nae ni CCM

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ha ha ha, inamaana hawajui waendako? maana hawajui nyuma wapi mbele wapi. haha, hiki kipanya kinautani na sisiemu, kitaviziwa kikiingia kwenye shimo wanajaza huko maji kinafia huko huko :attention:

Inawezekana wakawa hawajui wanakoenda kweli?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
We unauliza madawa ya kulevya yameingiaje ktk tumbo la "punda" (GREEN GUARD) wakati mdomo umefungwa?
Ulishawahi kujiuliza hayo madawa yanamezwaje? na kwanini wanatumia condom kuyameza?

Kumbe wanatumia condom kumezea madawa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kumbe wanatumia condom kumezea madawa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Halafu hawamezi kupitia mdomo!

Wanaotumia mdomo ndio wanaopatwa na mauti au kuwa mahututi kutokana na kuzidiwa na mzigo wenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…