Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,863
- 5,694
Hali halisi ya Zanzibar ni mbaya kabisa. Chakushangaza Rais wa jamuhuri ya muungano anahangaika kutumbua vijipu
huku anaacha tezi dume la
Jecha linazidi kukua.
Huyu Jecha alipaswa mpaka sasa awe jela kwa hasara na mtikisiko wa kisiasa alio sabababisha zanzibar.
Sababu zote alizotumia kufuta uchaguzi ni za kizushi na hata kama zikiwa za kweli bado tume inaonekana ndio ilishindwa kusimamia uchaguzi
Jecha anapaswa kuwajibika yeye na tume yote ili kujenga imani kwa umma na jamii ya
kimataifa.
Haiwezekani watu watoke nyumbani wapige kura siku
ya tatu uwaambie walifanya jambo batili halafu wewe uliye
simamia ubatili huo ketendeka
usiwajibike kwa hilo.
Ni vema hatua zikachukliwa mapema kulinda Amani yetu.