JazaakallahBrunei kuna Sultan...
Sunday, 24 March 2019
FacebookTwitterLinkedInWhatsAppShare
Brunei, a success story from the beginning
Angaindrankumar Gnanasagaran
23 February 2018
FacebookTwitterLinkedInWhatsAppShare
Brunei's all-powerful sultan marks 50 years on the throne on October 5 with lavish celebrations including a glittering procession, a 21-gun salute and a ceremony at his vast, golden-domed palace. (AFP Photo/Roslan Rahman)
Officially, Brunei is known as Negara Brunei Darussalam - negara meaning country and Darussalam translating from Arabic to mean “abode of peace.” This sultanate with a rich cultural background and history, celebrates its National Day today, the 23rd of February.
Soma zaidi: Brunei, a success story from the beginning
Sasa suala la Utawala wa Sultan na watu wenye dini kuwa brain washed lina uhusiano gani?! Tatizo lako moja tu! Unaona Zanzibar ni Waislamu na Sultan ni Mwislamu na ndio maana unahusisha madai yao na dini! Lakini kumbuka kwamba, ingawaje Bara watu wanafanya utani kumtaka Mkoloni, usisahau Kisiwa cha Anjouan kule Comoro badala ya kupata mamlaka yao kamiili, wao wakataka kurudi kwa Mfaransa! Kuweka kumbukumbu sawa au kuwajuza wasiofahamu, Kisiwa cha Anjouan ni kile ambacho Tanzania tulipeleka kikosi cha JWTZ mwaka 2008 kwenda kumtoa madarakani Mohammed Bakari!Siwezi acha udini kwa sababu sio mdini na sina dini wenye dini wamekuwa brain washed. Simple and clear
Sultan, Wasegeju, Wazaramo, Wandengereko, Wazigua, Wahindi, Wadigo wote wageni Zanzibar ni kisiwa, nafikiri unajua hilo
Kuna wageni wamefika mwanzo kuliko wengine, kuna wageni wamechelewa kufika wamefika wakati maendeleo yameshafika..
Naona mahaba na Sultan yamezikudi, utawaitaje watu wa mwambao wageni wakati wamepakana na Unguja kwa maili 20 tuu?Hao ni Wageni waliokuja baada ya Sultan kuleta maendeleo na ndio maana wanajulikana kuwa ni wageni, kuna Waafrika kule Zanzibar hawajulikani chimbuko lao..
Siyo kweli, Sultan alitoka Oman 1800s, dola ya kilwa ikiwa imeshaanguka miaka zaidi ya miaka 300 kabla ya Seyyid Said kuja pwani ya Zanzibar.Historia ya Zanzibar inasema kuwa Sultan aliitwa na Wenyeji wa Zanzibar ili aje kuwasaidia kumuondoa Mreno katika fukwe za Zanzibar, wakati huo Makao Makuu ya Sultan yalikuwa Kilwa..
Weka hisia pembeni angalia uhalisia wa hili jambo
Sultan simjui wala sijawahi kumuona, mahaba yangu kwake ni kile alichokiacha Zanzibar, sio uongo kuwa wandengereko, wadigo na Wazaramu, na wengine wamepakana maili 20 tu kutoka Zanzibar mpaka walipo lakini hizo sio sababu za kuwafanya wao wasiwe wageni au wahamiaji kwavile CHIMBUKO lao sio Zanzibar..Naona mahaba na Sultan yamezikudi, utawaitaje watu wa mwambao wageni wakati wamepakana na Unguja kwa maili 20 tuu?
Siyo kweli, Sultan alitoka Oman 1800s, dola ya kilwa ikiwa imeshaanguka miaka zaidi ya 300 kabla ya Seyyid Said kuja pwani ya Zanzibar.
Sultan alifika Zanzibar 1756 na Wandengereko walifika 1935. Sijui nani ana haki zaidiUbaya mkubwa ni kujifanya zanzibar ni nchi yake na huku yeye alikuwa mwarabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sultan simjui wala sijawahi kumuona, mahaba yangu kwake ni kile alichokiacha Zanzibar, sio uongo kuwa wandengereko, wadigo na Wazaramu, na wengine wamepakana maili 20 tu kutoka Zanzibar mpaka walipo lakini hizo sio sababu za kuwafanya wao wasiwe wageni au wahamiaji kwavile CHIMBUKO lao sio Zanzibar..
Hata kama Sultan CCM angefanya mema Zanzibar, mahaba yangu yangeliangukia kwake, mimi sio mbaguzi napenda yule anaeleta maendeleo
Wazaramu, Wandengereko, Wadigo, Wasegeju, Wahindi, Waajemi, Wanyamwezi, Wamanyema, Wamakonde, Wayao, Warabu..Watu wa asili wa Zanzibar ni nani?
Wazaramu, Wandengereko, Wadigo, Wasegeju, Wahindi, Waajemi, Wanyamwezi, Wamanyema, Wamakonde, Wayao, Warabu..
Mchanganyiko ya makabila hayo ndio yaliyotengeneza, ustaarabu, desturi na Mila za Waswahii wa Zanzibar..
Hao ni Wahamaji waliohamia Zanzibar kwa nyakati tafauti na kwa sababu tafauti,wakaoana na kuzaliana na kutengeneza kabila jipya liitwalo WASHWAHILI..
Katika hayo makabila wako waliokuja kutafuta maisha wenyewe, wako walioletwa kama watumwa, wako walioitwa kuja kuwalinda wengine, wako waliokuja kwa kulala DAGO nk..
Kwani visiwa hivyo kabla ya sultan vilikuwa pori?Lakini ukitazama kwa makini na kutafakari utaona kuwa Hawa Waliofika Zanzibar kwa kwenda kulala DAGO ndio unaweza kusema wao ndio walioanza kufika Zanzibar mwanzo wao ndio waliowakaribisha wengine, wao ndio wenyeji wa Zanzibar..
Mkuu naona husomi uzuri comments zangu,naona kama unasoma kwa mihemko zisome uzifahamu,sijatumia neno "asili" katika comments zangu..Shekh, unachanganya sana urojo mpaka unakuwa hauliki; wahindi, waarabu na waajemi watakuwaje watu asilia wa Zanzibar? Yaani visiwa vipo Afrika, kilomita chache tuu kutoka visiwani wenyeji wake wana nywele za kipilipili, itakuwaje wenzao wa ng'ambo ya pili huko zanzibar wawe na nywele za kulala. Huoni kuwa hao wenye nywele za kulala ni wakuja?
Kwa nini mzaramo anayetoka km 50 awe mkuja wakati muhidi anayetoka 8000km awe mzanzibari asilia?
Kwani visiwa hivyo kabla ya sultan vilikuwa pori?
Na hii inaonesha dhahri kuwa Zanzibar inauhusiano mkubwa na waafrika kuliko waarabu wa Oman.
Shekh, unachanganya sana urojo mpaka unakuwa hauliki; wahindi, waarabu na waajemi watakuwaje watu asilia wa Zanzibar? Yaani visiwa vipo Afrika, kilomita chache tuu kutoka visiwani wenyeji wake wana nywele za kipilipili, itakuwaje wenzao wa ng'ambo ya pili huko zanzibar wawe na nywele za kulala. Huoni kuwa hao wenye nywele za kulala ni wakuja?
Kwa nini mzaramo anayetoka km 50 awe mkuja wakati muhidi anayetoka 8000km awe mzanzibari asilia?
Kwani visiwa hivyo kabla ya sultan vilikuwa pori?
Zanzibar ilikuwa na maendeleo makubwa toka enzi hiyo,TV coloured, railway nk.Baada ya Uhuru na hatimaye Mapinduzi hadi sasa imepiga hatua nyingi nyuma,so sad.Kila unachokiona Zanzibar kimefanywa na Sultani,
Miti ya Sultani
Miembe,Minazi ilitoka India ikaletwa kupandwa Zanzibar kwa niaba ya Sultani
Nyumba za Sultani
Sultani alileta mafundi kutoka India ili waje waijenge Zamzibar,angalia Mji Mkongwe
Usafiri bora kwa raia
Sultani alianzisha usafiri wa Reli kutoka Mji Mkongwe mpaka BuBuBu,
Umeme kwa kila mwananchi
Sultani aliweka Magenerator Makibwa,Zanzibar ikawa nchi ya mwanzo kuwa na Umeme katika Afrika Mashariki na Kati
Biashara huria
Zanzibar ilikuwa kama unavyoiona Dubai sasa hivi,hii iliwavutia wageni wengi kuja kuishi Zanzibar,wakiwemo Warabu,Wahindi Waajemi,Wazaramo,Wamakonde nk
Elimu Bora
Zanzibar ilikuwa inafata mfumo wa Elimu kutoka Uingereza,mitihani ilikuwa inatoka Oxford,moja katika chuo Bora duniani..
Ali Hasan Mwinyi,Aboud Jumbe Mwinyi hawa ni moja kati ya wageni waliofaidika na Elimu ya Zanzibar..
Kwa yote hayo aliyoyafanya Sultani kwanini nchi isiwe yake?Je baada ya Sultani kuondolewa,waliomuondoa waliweza kuendeleza aliyoanzisha..?
Je Zazibar chini ya Sultan CCM,Uchumi,Elimu,maendeleo ya kijamii nk yakoje??..
View attachment 1052688View attachment 1052689
Nataka nikuulize, tokea huyo Sultani alipopinduliwa umemsikia akisema kuwa Zanziba ni nchi yake?Ubaya mkubwa ni kujifanya zanzibar ni nchi yake na huku yeye alikuwa mwarabu.
Sent using Jamii Forums mobile app