Unafiki unaimaliza Tanzânia

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Madhaifu mengine ya watanzania ni UNAFIKI na KUJIPENDEKEZA,, mfano mtu anapoanza kusifia tu kitendo hiki bila kumwonesha rais ukweli uko wapi mfano tumeibiwa sana na wala sio kwa kulazimishwa bali kwa hiari yetu kupitia mikataba mibovu sasa akitokea mtu anapongeza hatua hii ya rais huku akimtahadharisha juu ya uwepo wa sheria, mikataba ya kimataifa inayotubana na akatoa namna gan yakujinasua katika hiyo mikataba,, sasa wale wanafiki na wakujipendekeza wanaibuka na kumwona huyo aliyeonesha njia za kujinasua huko ni mpingaji Wa kila kitu, amehongwa n.k,, ifike mahali tumuunge mkono sio kwakumsifia bali kumpa njia zakujinasua katka mikataba hiyo mibovu,,, UNAFIKI NAKUJIPENDEKEZA vinaweza kutufelisha...Goliath mfalamagoha mwananchi wa kawaida mzalendo wa kweli
 
Kwani Magufuli kawaambia hatuibiwi kupitia mikataba? Mbona mnamatatizo nyie? Kama angekuwa hataki kugusa mikataba angeunda tume ya sheria ya nini? Tatizo akili zenu zinafikiri kivyama kila sekunde ....
 
Back
Top Bottom