Unafahamu teknolojia ya 5G

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Teknolojia ya #5G imetumika katika maisha ya watu kwenye kipindi cha virusi vya Corona. Gari la kujiendesha bila ya watu linatumika kupeleka mizigo kwa wakazi wa wilaya ya #Changxing, mkoani #Zhejiang, China, ili kupunguza hatari ya maambukizi ya virusi.

Na katika ghala moja mjini Nanjing, mkoani #Jiangsu, mashine inayotumia teknolojia ya 5G inasaidia kupeleka mizigo na kukusanya data, baada ya kupokea oda za wateja, inatumia dakika 20 tu kutoa bidhaa kutoka kwenye ghala.
#technologyView attachment 1496134View attachment 1496135
 
This is all about the 5G technology?Unahitaji kufanya homework yako vizuri zaidi mkuu,hiki ulichotuletea ni kiduchu mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…