kakuruvi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2009 Posts 770 Reaction score 259 Apr 4, 2012 #1 unafahamu siku uliyozaliwa? bonyeza hapa How to calculate mentally the day of the week for any
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,509 Apr 5, 2012 #3 ni kweli nimejaribu kwa watu wengi imeonyesha siku halisi,
kakuruvi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2009 Posts 770 Reaction score 259 Apr 5, 2012 Thread starter #4 Lokissa said: ni kweli nimejaribu kwa watu wengi imeonyesha siku halisi, Click to expand... Ofcourse ni calculator ya ukweli, kuna watu wengi wanafahamu na wanakumbuka tarehe, mwezi na mwaka waliozaliwa ila wengi hawakumbuki kwamba ni siku gani, hivyo hiyo ni rahisi kufanya ujue siku uliyozaliwa. Lokissa safi sana umejaribu na umeona.
Lokissa said: ni kweli nimejaribu kwa watu wengi imeonyesha siku halisi, Click to expand... Ofcourse ni calculator ya ukweli, kuna watu wengi wanafahamu na wanakumbuka tarehe, mwezi na mwaka waliozaliwa ila wengi hawakumbuki kwamba ni siku gani, hivyo hiyo ni rahisi kufanya ujue siku uliyozaliwa. Lokissa safi sana umejaribu na umeona.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,838 Reaction score 95,004 Apr 5, 2012 #5 Nilikua na calendar flan hv ilikua na table yote ya kuzaliwa na siku zake!
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Apr 5, 2012 #6 mambo magumu sana duuu...
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,692 Apr 5, 2012 #7 Vp una kalenda na ya siku ya kufa mkuu imwage hapa tucheki.....
kakuruvi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2009 Posts 770 Reaction score 259 Jun 26, 2012 Thread starter #8 Kimbweka said: Vp una kalenda na ya siku ya kufa mkuu imwage hapa tucheki..... Click to expand... Kimbweka acha machezo bana, hiyo anayo Mungu pekee!!
Kimbweka said: Vp una kalenda na ya siku ya kufa mkuu imwage hapa tucheki..... Click to expand... Kimbweka acha machezo bana, hiyo anayo Mungu pekee!!