unafahamu siku uliyozaliwa?

unafahamu siku uliyozaliwa?

ni kweli nimejaribu kwa watu wengi imeonyesha siku halisi,
 
ni kweli nimejaribu kwa watu wengi imeonyesha siku halisi,

Ofcourse ni calculator ya ukweli, kuna watu wengi wanafahamu na wanakumbuka tarehe, mwezi na mwaka waliozaliwa ila wengi hawakumbuki kwamba ni siku gani, hivyo hiyo ni rahisi kufanya ujue siku uliyozaliwa. Lokissa safi sana umejaribu na umeona.
 
Nilikua na calendar flan hv ilikua na table yote ya kuzaliwa na siku zake!
 
Vp una kalenda na ya siku ya kufa mkuu imwage hapa tucheki.....
 
Back
Top Bottom