Unafaa Kukaa Rada Ukiwa Nairobi Mazee

Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,091
2,509
Juzi tulimget huyu mdhii akiwa amelala nje ya place ninadoiya works masaa 8:30 hivi. Ni ka alikuwa amestay hapo tangu ngware, mazee na hiyo njeve!

Sa tukamuamsha na kumwuliza niaje, kama ako msick. Yeye kitu ya kwanza ali-do, alianza kushikashika pockets zake za traoo na koti na akatuulza,"yule dem nilikuwa naye mumecheki place ameishia?" Tukamshow maze, alikuwa hapo pekee yake vile tulimget.

Na sasa hiki kibuda, kinakaa 55 kikaanza kulia,"mazee nangos yangu ya thao 10, dough zangu mob thao 50 bonus ya chai, wallet yangu, mnihelp tu wangwana!". Sasa tukaangaliana tu-do nini sasa

Kuuliza vipo ndo tukagunduwa kumbe huyo buda alikuwa ametoka Muranga akakam Nai kuchukua bonus yake chai. Hiyo usiku ndo akaamua kuishia K-street kuget ka apoko, vile alikuwa na mahanjamz.

Nafkiri vile alikuwa na dough mob kwa mfuko na vile alikuwa anakaa mshadhee, huyo dem apoko alimdrug na kumsanyia kila kitu!

Hey mazee, sasa sijui atamshow aje wifey wake man. Stori ka hiyo!
Lakini ni powa amelearn lesson atawahi 4get.:smile:
 
Mazee hii kitu ni noma aisee!..NAIROBI JIJI LA WAJANJA!!!
 
Khaaaa! Mwaka huu?
 
Hahaahhah nai hatari huwa zile chocho za veve down town naziogopa sana
 
Back
Top Bottom