Hello JF
For the past three months nimepita ofisi kadhaa, and noticed kwamba kuna kazi nyingi sana on the notice boards but they aren't advertised on the papers. Sasa kwa wale watafuta kazi i would advice you NOT TO STAY AT HOME rather you should pass through corridors in several buildings and take a look at the announcements.
I would recommend that each member of JF could assist the unemployed by giving information if they see any post relating to employment. You just have to say where the post is and the position maybe people will go and take a look.
HRs are avoiding advertising on the papers because the applications will be too many. Imagine umepewa kazi ya kusort 300 applications to find the best 10 candidates to call for interview.
I would appreciate if this thread is 'STICKED' at the top, so that it could be easily read. Am sure it concerns all of us.
Kwa kuanzia ingekuwa vema ukazisema hizo ofisi ulizotembelea na kukutana na kazi, vinginevyo unawapa mtihani mzito wa kucheza na yumkini ili kubaini ofisi hizo[/QUOTE
When you visit a patient at Muhumbili try to pass through other buildings ukimalizana na mgonjwa wako. Chek zile offices zao not WARDS.
Mkuu ili onyo ni la muhimu sana hasa kwa wanaomaliza chuo na kukaa nyumbani kwa muda mfupi au mrefu na kuomba kazi pasipo mafanikio pale wanapoambiwa kuwa kuna kazi lakini utanue miguu (wanawake) au utoe kitu kidogo (both wanawake na wanaume) basi huwa radhi kufanya hivyo ili wapate kazi hizo kwa gharama yoyote. Lakini kama ambavyo umesema kuwa mtafutaji hachoki na akichoka amepata. Watanzania wengi siku hizi tumepoteza uvumilivu katika kutafuta kazi ndio maana kwa njia zozote zile hata kama mtu kasoma ana B.A au M.A lakini bado atatoa kitu kidogo au kuachamisha miguu ili apate.ONYO (WARNING): Ukituma maombi ukaambiwa aidha toa kidogo au jiachie ili upewe nafasi husika elewa kuwa hiyo si kazi bali kadhia! Kaa mbali na watu wanaotaka hela ili kukupatia kazi, hakuna mwajiri anayedai hela kabla ya kuajiri