Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,724 Oct 7, 2014 #1 Hebu icheki vizuri hii picha kisha useme, umegundua/ unadhani nini kinaendelea?...
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Oct 7, 2014 #2 Ujenzi wa fensi...😛eep:
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,249 Oct 7, 2014 #3 Ha!ha!Ha hapa naona kuna mgogoro wa kiwanja naona jamaa kaamua kupiga uzio wake kabisa ha!ha hii kubwa kuliko atakae kuja kuamlia hapa sijui...
Ha!ha!Ha hapa naona kuna mgogoro wa kiwanja naona jamaa kaamua kupiga uzio wake kabisa ha!ha hii kubwa kuliko atakae kuja kuamlia hapa sijui...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,608 Reaction score 860,789 Oct 7, 2014 #4 NAPITA said: Ha!ha!Ha hapa naona kuna mgogoro wa kiwanja naona jamaa kaamua kupiga uzio wake kabisa ha!ha hii kubwa kuliko atakae kuja kuamlia hapa sijui... Click to expand... Kweli kabisa NAPITA Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
NAPITA said: Ha!ha!Ha hapa naona kuna mgogoro wa kiwanja naona jamaa kaamua kupiga uzio wake kabisa ha!ha hii kubwa kuliko atakae kuja kuamlia hapa sijui... Click to expand... Kweli kabisa NAPITA
G Gosberth Member Joined Feb 15, 2013 Posts 20 Reaction score 6 Oct 7, 2014 #5 Nasikitika kwa sababu tu nawajua watu hawa tuliishi nao fresh na hawakuwa na mahusiano zaidi ya matani yaliyopitiliza
Nasikitika kwa sababu tu nawajua watu hawa tuliishi nao fresh na hawakuwa na mahusiano zaidi ya matani yaliyopitiliza
Gibeath-Elohimu JF-Expert Member Joined Jan 5, 2014 Posts 489 Reaction score 700 Oct 7, 2014 #6 Migogoro ya ardhi na mipaka hiyo.....taaaabu sana....kutoka hapa ni kuruka ukuta...huyooo town....kurudi nayo kuruka ukuta huyo ndani ya house...eeeh mama watoto wazima humu,mmepumua salama jamani!!!!!!!!!!!!!
Migogoro ya ardhi na mipaka hiyo.....taaaabu sana....kutoka hapa ni kuruka ukuta...huyooo town....kurudi nayo kuruka ukuta huyo ndani ya house...eeeh mama watoto wazima humu,mmepumua salama jamani!!!!!!!!!!!!!
WISDOM SEEDS JF-Expert Member Joined Jun 1, 2011 Posts 841 Reaction score 283 Oct 7, 2014 #7 Kasheshe la kugombea mipaka hilo!