Unadhani Kuna Nini Ndani

Bumunda, mchanganyiko wa ndizi mbivu na unga kisha unafunga kwenye machava na kuweka kwenye majivu ya moto
 
Vimanda hivo mkuu...vitamu ajabu ila mpaka uwe na vielementi vya uhenga ndo uweze kung'amua hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…