Unachukua unaweka...

Haaa mkuu CCM imekosa pumzi, mzee king'ang'anizi kweli aisee,
 
Ameisoma namba

Unaeisoma namba ni wewe wala sio Kingunge labda kama mna maana nyingine lakini kwa maana halisi kwa sasa wanaCCM mnaisoma namba kweli kweli.
 
hata mm nijuzwe maana halisi ya kuisoma namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…