kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Maandiko yapi mkuu?Pia alitabiri Obama ataanguka atakimbizwa Hosp. Hapo c anguko la Obama ni anguko la marekani na maandiko yatatimia muda c mrefu . viva Mr. Puttin
Naomba kuuliza.
Tuchukulie mfano kuwa ni kweli jamaa anatabiri vitu na hutokea. Hii ina mantiki gani kwangu kama binadamu mkristo (au hata muislam)?
Maana kama ni kubashiri mwisho wa dunia na hivyo tujiandae wengi wenu mtakua wanafiki tu maana maandalizi yenu ni ya woga na wala si ya dhati ya kupenda kufwata njia ya Mungu.
Swala mwisho wa dunia na utabiri halitakiwi kumshtua hata punje muumini wa kweli wa hayo madhehebu yenu.
TB Joshua ni mfwatiliaji mzuri na wa kina sana katika mambo ya dunia. Kuanzia politics mpaka tabia nchi. Anachofanya ni intelligent guesswork tu navyoona mimi, bado sijaamini kama ana extra powers and more specifically from God.
Haya tenaa, wale wabishi wanabishana na Redio. Hapa tena TB Joshua anathibitika,mwanzo Wa mwaka alisema ombeni kwa ajili ya russia,akasema vita itaibuka kinyume yake ,ata pressure itakuwa kubwa hata italilemea taïfa hilo. Lile nililokua nangojea kuliona ni pale aliposema,mataifa yataungana kupigana na urusi. À ha sasa leo nimeona, Majeshi ya ushirika Wa ulaya (NATO),yamepeleka silaha na kiasi cha askari 4,000 kupigana na urusi.Mungu awasaidie lakini nimeona.

Kwanini asiombee yasitokee maafa!! Huwa nashindwa kuwaelewa watu mnaowaamini wa-Nigeria, hawa jamaa ni waongo, matapeli, waliotumwa kutafuta pesa Kwa kila njia
Naomba kuuliza.
Tuchukulie mfano kuwa ni kweli jamaa anatabiri vitu na hutokea. Hii ina mantiki gani kwangu kama binadamu mkristo (au hata muislam)?
Maana kama ni kubashiri mwisho wa dunia na hivyo tujiandae wengi wenu mtakua wanafiki tu maana maandalizi yenu ni ya woga na wala si ya dhati ya kupenda kufwata njia ya Mungu.
Swala mwisho wa dunia na utabiri halitakiwi kumshtua hata punje muumini wa kweli wa hayo madhehebu yenu.
TB Joshua ni mfwatiliaji mzuri na wa kina sana katika mambo ya dunia. Kuanzia politics mpaka tabia nchi. Anachofanya ni intelligent guesswork tu navyoona mimi, bado sijaamini kama ana extra powers and more specifically from God.
Kila unabii unatakiwa ujue sehemu yako ya kufanya,sasa alisema lakini serikali ingeenda nae wangewapata. Nabii mkubwa ni mungu mwenyewe,aliwaambia atawapa Canaan,wakaogopa basi wakakosa Canaan,si ajabu.TB Joshua aliwahi kutabiri kwamba wale mabinti waliotekwa na boko haram wangepatikana kwa muda mfupi sana . Lakini mpaka sasa hakuna dalili. Huyo nabii hua anaotea tu
Kwanini asiombee yasitokee maafa!! Huwa nashindwa kuwaelewa watu mnaowaamini wa-Nigeria, hawa jamaa ni waongo, matapeli, waliotumwa kutafuta pesa Kwa kila njia
Mkuu huyu nabii anahitajika akawaponye wagonjwa wa ebola kwa kuwashika kichwani!
Aache huu utabir wa kutumia current issues aenda Sierra leone na Guinea
Kila unabii unatakiwa ujue sehemu yako ya kufanya,sasa alisema lakini serikali ingeenda nae wangewapata. Nabii mkubwa ni mungu mwenyewe,aliwaambia atawapa Canaan,wakaogopa basi wakakosa Canaan,si ajabu.