Pia alitabiri Obama ataanguka atakimbizwa Hosp. Hapo c anguko la Obama ni anguko la marekani na maandiko yatatimia muda c mrefu . viva Mr. Puttin
Kupigana vita ya maneno au ya silaha?
Vita baridi kati ya russia na ulaya mbona ipo miaka mingi tu!
Haya tenaa, wale wabishi wanabishana na Redio. Hapa tena TB Joshua anathibitika,mwanzo Wa mwaka alisema ombeni kwa ajili ya russia,akasema vita itaibuka kinyume yake ,ata pressure itakuwa kubwa hata italilemea taïfa hilo. Lile nililokua nangojea kuliona ni pale aliposema,mataifa yataungana kupigana na urusi. À ha sasa leo nimeona, Majeshi ya ushirika Wa ulaya (NATO),yamepeleka silaha na kiasi cha askari 4,000 kupigana na urusi.Mungu awasaidie lakini nimeona.
Kwanini asiombee yasitokee maafa!! Huwa nashindwa kuwaelewa watu mnaowaamini wa-Nigeria, hawa jamaa ni waongo, matapeli, waliotumwa kutafuta pesa Kwa kila njia
Naomba kuuliza.
Tuchukulie mfano kuwa ni kweli jamaa anatabiri vitu na hutokea. Hii ina mantiki gani kwangu kama binadamu mkristo (au hata muislam)?
Maana kama ni kubashiri mwisho wa dunia na hivyo tujiandae wengi wenu mtakua wanafiki tu maana maandalizi yenu ni ya woga na wala si ya dhati ya kupenda kufwata njia ya Mungu.
Swala mwisho wa dunia na utabiri halitakiwi kumshtua hata punje muumini wa kweli wa hayo madhehebu yenu.
TB Joshua ni mfwatiliaji mzuri na wa kina sana katika mambo ya dunia. Kuanzia politics mpaka tabia nchi. Anachofanya ni intelligent guesswork tu navyoona mimi, bado sijaamini kama ana extra powers and more specifically from God.
tb joshua ndio nani kwani? anahusika na nini zaidi?