Huyu 50 cent Wana beef mda mrefu sana na P Diddy50 Cent anasema siku ya kwanza alipogundua uchafu wa P. Diddy ilikua kwenye studio za tv, wakiwa katika live interview kwenye tv P. Diddy alimwambia 50 Cent, "50 nataka nikutoe out siku 1 nkufanyie shopping unaonaje ofa hiyo bro?"
50 Cent anasema alishtuka na kujibu pale pale kwa hasira, "Huyu mpuuzi anaongea upumbavu gani huu? Nitamlamba makofi hapa hapa aisee!"
50 Cent anasema kuanzia siku hiyo P. Diddy anamuogopa na walikua maadui hadi leo. 50 Cent anasema katika kipindi chote cha urafiki wao P. Diddy alikuwa hajawahi kumuonesha upuuzi huo ila siku hiyo alishtuka na kugundua jamaa ni bedui
Siku za karibuni 50 Cent amekua akiwacheka waliokua marafiki wa P. Diddy kwa kusema yeye toka P. Diddy aongee upuuzi ule kwenye tv alishajua kwamba jamaa ni nyang'au na alimuonya kwamba akithubutu kumshirikisha upuuzi wowote anampasua
Kwenye list ya mastaa 50 Cent na Mike Tyson wanatajwa hadi sasa kama ndio wababe pekee waliomshtukia P. Diddy na kukataa upuuzi wake bila kupepesa macho, Tyson nae walikytana kwenye live interview kwenye Tv P. Diddy akawa anapeleka mkono kupapasa paja la Tyson, Tyson akamshika ule mkono akamsukuma kando na kuhamia siti mbali na yeye kabisa
Msanii mwingine maarufu anayetajwa kupitia madhila ya P. Diddy ni Justin Bieber, kesho nitawaleta story yake mnikumbushe
Masikini hapa alikuwa anamwambia sasa urete tena........nikutrendishe kwenye tuzo maana hako ka bikra kako bado sijakatoa vizuri............
Ashapasuliwa yao eeh..?I just wished Mtoto wa tandale angekaza Kama 50 cent, ndio basi tena
Kujiamini gani huko jamani haogopi ngumi zile isee anataka tarko la bondia kweli..Mwamba naye! Yaani alitaka amle hadi Tyson!?
Kingereza ni kigumu mno!I just wished Mtoto wa tandale angekaza Kama 50 cent, ndio basi tena
Mwamba amechafukwa Nafsi Hana habari yeye ni mikwaju tuu uwe nigga uwe naisi gai.Mwamba naye! Yaani alitaka amle hadi Tyson!?
50 Cent anasema siku ya kwanza alipogundua uchafu wa P. Diddy ilikua kwenye studio za tv, wakiwa katika live interview kwenye tv P. Diddy alimwambia 50 Cent, "50 nataka nikutoe out siku 1 nkufanyie shopping unaonaje ofa hiyo bro?"
50 Cent anasema alishtuka na kujibu pale pale kwa hasira, "Huyu mpuuzi anaongea upumbavu gani huu? Nitamlamba makofi hapa hapa aisee!"
50 Cent anasema kuanzia siku hiyo P. Diddy anamuogopa na walikua maadui hadi leo. 50 Cent anasema katika kipindi chote cha urafiki wao P. Diddy alikuwa hajawahi kumuonesha upuuzi huo ila siku hiyo alishtuka na kugundua jamaa ni bedui
Siku za karibuni 50 Cent amekua akiwacheka waliokua marafiki wa P. Diddy kwa kusema yeye toka P. Diddy aongee upuuzi ule kwenye tv alishajua kwamba jamaa ni nyang'au na alimuonya kwamba akithubutu kumshirikisha upuuzi wowote anampasua
Soma Pia:
- My confession: Justin Bieber kuhusu P-Diddy
- Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000
Kwenye list ya mastaa 50 Cent na Mike Tyson wanatajwa hadi sasa kama ndio wababe pekee waliomshtukia P. Diddy na kukataa upuuzi wake bila kupepesa macho, Tyson nae walikytana kwenye live interview kwenye Tv P. Diddy akawa anapeleka mkono kupapasa paja la Tyson, Tyson akamshika ule mkono akamsukuma kando na kuhamia siti mbali na yeye kabisa
Msanii mwingine maarufu anayetajwa kupitia madhila ya P. Diddy ni Justin Bieber, kesho nitawaleta story yake mnikumbushe
usher pia, fifty nimecheki interview kanchekesha eti akamnunulie nguo... akasema wahat f**50 Cent anasema siku ya kwanza alipogundua uchafu wa P. Diddy ilikua kwenye studio za tv, wakiwa katika live interview kwenye tv P. Diddy alimwambia 50 Cent, "50 nataka nikutoe out siku 1 nkufanyie shopping unaonaje ofa hiyo bro?"
50 Cent anasema alishtuka na kujibu pale pale kwa hasira, "Huyu mpuuzi anaongea upumbavu gani huu? Nitamlamba makofi hapa hapa aisee!"
50 Cent anasema kuanzia siku hiyo P. Diddy anamuogopa na walikua maadui hadi leo. 50 Cent anasema katika kipindi chote cha urafiki wao P. Diddy alikuwa hajawahi kumuonesha upuuzi huo ila siku hiyo alishtuka na kugundua jamaa ni bedui
Siku za karibuni 50 Cent amekua akiwacheka waliokua marafiki wa P. Diddy kwa kusema yeye toka P. Diddy aongee upuuzi ule kwenye tv alishajua kwamba jamaa ni nyang'au na alimuonya kwamba akithubutu kumshirikisha upuuzi wowote anampasua
Soma Pia:
- My confession: Justin Bieber kuhusu P-Diddy
- Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000
Kwenye list ya mastaa 50 Cent na Mike Tyson wanatajwa hadi sasa kama ndio wababe pekee waliomshtukia P. Diddy na kukataa upuuzi wake bila kupepesa macho, Tyson nae walikytana kwenye live interview kwenye Tv P. Diddy akawa anapeleka mkono kupapasa paja la Tyson, Tyson akamshika ule mkono akamsukuma kando na kuhamia siti mbali na yeye kabisa
Msanii mwingine maarufu anayetajwa kupitia madhila ya P. Diddy ni Justin Bieber, kesho nitawaleta story yake mnikumbushe
Pdidy tunahitaji maelezo yako mkuu dhidi ya huyu mr combs50 Cent anasema siku ya kwanza alipogundua uchafu wa P. Diddy ilikua kwenye studio za tv, wakiwa katika live interview kwenye tv P. Diddy alimwambia 50 Cent, "50 nataka nikutoe out siku 1 nkufanyie shopping unaonaje ofa hiyo bro?"