Una kumbuka hii

alafu huku unawasikilizia watu wanasema waacheni kwanza..
 
Haaaaah unakuta hapo unabamuliwa afu ata hakuna wa kukusaidia
 
Sikuwa na mwili mkubwa lakini mikwara yangu iliniokoa sana, hadi wale wakubwa wakubwa wakawa wananigwaya. Acha kabisa!
 
alafu huku unawasikilizia watu wanasema waacheni kwanza..
hahahaha yaani ukiwa umezidiwa akitokea mtazamaji mmoja kujifanya anaamulia hupotezi hata dakika1 kukubaliana na uamuzi wake.
 
hahahaha yaani ukiwa umezidiwa akitokea mtazamaji mmoja kujifanya anaamulia hupotezi hata dakika1 kukubaliana na uamuzi wake.
Lakini unaendelea kupiga mkwara kwa kusema " bahati yako ningekumaliza... uliza wenzako..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…