UN: Israel inaunga mkono magaidi

Uislam ndio unakufanya wewe uwe salama na unaweza kulala shauri ya uislam soma kaka uondokane na ujinga acha kusikiliza propaganda za dunia

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Sio propaganda niukwel na kwa mifano, Mara nyingi waislam wanachinja au kuua wakristo na dini zingine , lakin ninadra kusikia din zingine zikiwaua wao waislam kwa iman yao. Jiulize kwa nini wanalazmisha wachinje machinjion huku wakitaka ujira na ukiwakataza fujo mpaka kuua watu kama walivyo Fanya geita.

Wasingekuwepo dunia ingekua mahala salama kwa kuishi.
 
Hakuna ukweli hapo nenda afrika ya kati utaona jinsi wakristo nao wanavyoua waislam fuatilia historia ya vita ya serbia utaona maelfu ya waislam walivyouwawa na wakristo bosnia herzegovina kaka soma na fuatilia habari za dunia miaka ya nyuma kulikuwa na crusade war vita ya msalaba ilikuwa ikilenga waislam ulaya kule na duniani mbona haya huyaoni
 
Wengi wanajuwa hilo,lakini wanajifanya hawajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…