VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
Mu murenge wa Gatenga hari umunyerondo ukora Inzoga zitemewe akavuga ko ikibitera aruko bakorera amafaranga macye aricyo cyimutera gucuruza ibi biyobyabwenge.
Ikosa rikaba ribaye gukwirakwiza ibiyobyabwenge ubwo.
Jijini Kigali, mtu mmoja anaefanya kazi ya ulinzi shilikishi, anashikiliwa na vyombo vya usalama,kwa kosa la kujihusisha na uandaaji wa pombe za kienyeji, zisizoruhusiwa. Alipoulizwa, alisema chanzo ni mshahara usiokidhi mahitaji, umekuwa chanzo cha kujihusisha na usambazaji wa madawa ya kulevya. Kosa si kuandaa pombe, tayari limeshakuwa madawa ya kulevya.