Umuhimu wa kukaa ghetto

Ukichakata jirani hutaleta demu mwingine hapo geto jirani atakuja kukuletea mtiti
 
Woga wako tu kawaida.
Pc million 1 na kuendelea.
Pad (50k hadi 150k)+ racing wheel kama utahitaji jumla lak3 had 4.
Monitor au tv laki 5 had 7
Hiyo meza complete lak 4
Mziki wa hi-fi lak 4 na kuendelea.
Jumla hapo wastani mil3
(Starehe gharama)
Hapo umemtajia mshahara wake wa miezi 5.
Hivyo aendelee kukaa home mpaka mwezi wa kwanza akifikisha hyo hela akanunue
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee mi kibarua
Hapo umemtajia mshahara wake wa miezi 5.
Hivyo aendelee kukaa home mpaka mwezi wa kwanza akifikisha hyo hela akanunue
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…