umuhimu wa kujiunga mitandao mingi

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
wanajf hivi kuna umuhimu gani wa mtu mmoja kujiunga ktk mitandao mingi kam whatsup,fb,twitter,jf,istagram au ndo ulimbuken?
 
wanajf hivi kuna umuhimu gani wa mtu mmoja kujiunga ktk mitandao mingi kam whatsup,fb,twitter,jf,istagram au ndo ulimbuken?

Inategemea na lengo lako..

Kuna watu wanafanya;
1. Business kwenye mitandao na wanamake mkwanya sana

2. Kuna wengine ni watu wa media wanafanya yao na wao.

3. Wengine wanaelimika na kupata habari kupitia mitandao ( ili mradi unaingia site za habari)

4. Wengine ni kwa ajili entertainment (waburudike tuu)
5. Kuna wengine ni ulimbukeni ( ana miliki smartphone)


NB:
Usikeshe mitandaoni kama hupati faida yoyote..ukaacha shughuli zako za msingi...

Wengine wako kazini humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…