Heci JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 3,867 Reaction score 6,884 Jan 31, 2018 #1 *HEBU ANGALIA UMUHIMU WA KUHESHIMU WATU WENGINE* 1. Kuzaliwa kwako kumefanywa na *watu wengine.* 2. Jina lako umepewa na *watu wengine.* 3. Umepata elimu kutoka kwa *watu wengine.* 4. Kipato chako kwa namna fulani kinatoka kwa *watu wengine.* 5. Hata Heshima uliyonayo unapewa na *watu wengine.* 6. Wa kwanza kukuogesha ni *watu wengine.* 7. Wa mwisho kukuogesha pia watakuwa *watu wengine.* 8. Mazishi yako yatasimamiwa na *watu wengine.* 9. Utapelekwa kuzikwa na *watu wengine.* 10. Kila unachokimiliki kitarithiwa na watu wengine. Sasa kwa nini unakuwa na kiburi,dharau na nyodo dhidi ya watu wengine? Kumbuka hakuna sehemu yoyote katika maisha yetu isiyohitaji watu wengine. Ni matumaini yangu ujumbe huu utawarushia na watu wengine.
*HEBU ANGALIA UMUHIMU WA KUHESHIMU WATU WENGINE* 1. Kuzaliwa kwako kumefanywa na *watu wengine.* 2. Jina lako umepewa na *watu wengine.* 3. Umepata elimu kutoka kwa *watu wengine.* 4. Kipato chako kwa namna fulani kinatoka kwa *watu wengine.* 5. Hata Heshima uliyonayo unapewa na *watu wengine.* 6. Wa kwanza kukuogesha ni *watu wengine.* 7. Wa mwisho kukuogesha pia watakuwa *watu wengine.* 8. Mazishi yako yatasimamiwa na *watu wengine.* 9. Utapelekwa kuzikwa na *watu wengine.* 10. Kila unachokimiliki kitarithiwa na watu wengine. Sasa kwa nini unakuwa na kiburi,dharau na nyodo dhidi ya watu wengine? Kumbuka hakuna sehemu yoyote katika maisha yetu isiyohitaji watu wengine. Ni matumaini yangu ujumbe huu utawarushia na watu wengine.
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 14,693 Reaction score 18,599 Jan 31, 2018 #2 Ujumbe wenye hekima tele umetufikia.
gidlameck JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 618 Reaction score 532 Jan 31, 2018 #3 Asante mkuu
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 12,220 Reaction score 28,933 Jan 31, 2018 #4 Ila kuheshimu wanaukawa ni dhambi
laii JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 857 Reaction score 1,126 Jan 31, 2018 #5 It doesn't matter how rich you are,how many Degree you have,how many gods you have,how many countries you lived, how many years you have,how many people sorounding you...if you don't respect others,ur nothing
It doesn't matter how rich you are,how many Degree you have,how many gods you have,how many countries you lived, how many years you have,how many people sorounding you...if you don't respect others,ur nothing