Godwin Gabriel
New Member
- Oct 9, 2020
- 2
- 0
kama ni form itabidi uanze na certificate, cha msingi uwe na cheti cha form hata kama kina D zote sio zero
kama una cheti cha form 4 na division yako ni 4 ni lazma uanze na certificateMkuu samahn, je kwa yule mwenye D-4 kwa O-level. Na ana ndoto za kusomea Business Admistrn, Nae unamshaurije.ππ
[emoji3516]
kama una cheti cha form 4 na division yako ni 4 ni lazma uanze na certificate
Kabisa[emoji1666]
Ndy ninapo enda mzee[emoji110]Aende TIA tu hapo hatojutia
UhakikaDah......na vipi kuhusu BBA IN FINANCE?
Kama hujui mpaka Law chuo kikuu ina hesabu sembuse BBA?
Hivi kusoma CPA ni lazima usome Pure accountancy? Kama sio kwann unasema hawezi kuwa mhasibu akisoma BBA?Mzumbe hakuna BUSINESS ADMNISTRATION PLAIN na huwezi kuwa mhasibu kwa kusoma Business adminstration plain. Msipende kuwaingiza chaka wenzenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
CPA ata dokta aua Injinia anaweza akasomea.Hivi kusoma CPA ni lazima usome Pure accountancy? Kama sio kwann unasema hawezi kuwa mhasibu akisoma BBA?