Umuhimu wa bunge

Msheku

Member
Apr 22, 2011
12
0
je kuna umuhimu wa kuendelea kuwa na wabunge tulionao sasa hapa Tanzania? je wabunge tulionao wanauwezo gani wa kujadili bajeti zilizoandaliwa na wataalam?
 
Hivi hadi mtu ufikie uamuzi wa kupost, si inabidi kwanza utafakari unachotaka kupost? Sasa mtu na akili zake kabisa eti anauliza ''kuna umuhimu gani wa kuwa na wabunge''? Ni akili au matope hii jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…