Umri wa wachangiaji mada JF

Unaweza kutuambia kitu kilichofanya ujiunge na jf?

kwanza ni kujua kuna nini humu, kisha kushiriki kilichomo
nahc nimekujibu ulivyotaka
sasa na wewe jibu swali la msingi, unadhani umri wa wachangiaji wengi ni kati ya miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…