WanaJF tuliooa maeneo tajwa (Machame & Mbeya) tunakusudia kwenda kuusajili Umoja wetu kama taasisi ya kutetea haki zetu pale inapotokea Kash-kash zozote katika ndoa zetu. Hivyo basi tunawaomba kwa umoja wetu tukutane tarehe 21/08/2016 (jumapili), pale SAMAKI-SAMAKI, MLIMANI CITY ili kuweza kupitia katiba yetu kifungu kwa kifungu kabla hatujapeleka kwa msajili. Asanteni,
Wenu Mtiifu; 0715143800