Ukiona faida ya walizopata Warusi kwa kuuza AK47 na Toyota kwa kuuza Land cruiser kwa makundi ya wanamgambo, waasi na mafisadi wa Africa inasikitisha sana pia,Wanafurahia vita huku wanapiga bizinesi......ukiona faida ya uuzaji silaha waliyopata Marekani kwa Ukraine, inasikitisha sana
Hawa jamaa wanafurahia sana ugomvi,sasa jiulize zile gari au silaha zinafikaje maeneo hayoUkiona faida ya walizopata Warusi kwa kuuza AK47 na Toyota kwa kuuza Land cruiser kwa makundi ya wanamgambo, waasi na mafisadi wa Africa inasikitisha sana pia,
Shida ya waUikrane wapiganaji wake mpaka itumike nguvu Ndo waende vitani ,athari zake hawezi kupigana Kwa ufanisi.Kwa hali hii vita ya Urusi na Ukraine bado ipo sana ikiendelea kwa muda mrefu sana kuliko ilivotarajiwa.
Ukraine ana hela gani ya kununulia silaha Marekani, kumbe watu wengine mko humu kama mazombi tu hata hamuelewi dunia inakoenda ila ni kukalia mambo ya vijiweni tu. Bure kabisa.Wanafurahia vita huku wanapiga bizinesi......ukiona faida ya uuzaji silaha waliyopata Marekani kwa Ukraine, inasikitisha sana
Russia walichukua hadi wafungwa kwa lazima na kuwapeleka vitani, unafikiri mchezo.Shida ya waUikrane wapiganaji wake mpaka itumike nguvu Ndo waende vitani ,athari zake hawezi kupigana Kwa ufanisi.View attachment 2890867
Hzo hzo hela wanakopeshwa halafu zinanunulia silaha hzo hzo hela.Ukraine ana hela gani ya kununulia silaha Marekani, kumbe watu wengine mko humu kama mazombi tu hata hamuelewi dunia inakoenda ila ni kukalia mambo ya vijiweni tu. Bure kabisa.
2024 hii mwaka wa pili huu , bado hamjaangamiza Ukraine tu?Ukraine inazidi kuangamizwa sababu misaada ya aina yeyote haitaleta mabadiliko chanya yeyote dhidi ya SMO ya Russia
Labda western wawe wanataka kumchosha Russia jambo ambalo silioni tena kwasasa
Taifa la Russia limeisha adopt mazingira ya vita yalioambatana na vikwazo nk...
Acha tuone
Alokwambia kama tuna shida na ukraine nani 😀2024 hii mwaka wa pili huu , bado hamjaangamiza Ukraine tu?
Bila shaka wewe utakuwa na elimu ya madrasat tu.Hzo hzo hela wanakopeshwa halafu zinanunulia silaha hzo hzo hela.
Are you serious?unahisi kama unaangalia movie ya Rambo?Wakati huo kifurushi kingine Cha dollar billions 61 kutoka marekani Kiko njiani..,hii vita inazidi kuwa tamu walahi
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app