Umoja wa Maendeleo

Mpendwa_Ellie

Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
6
Reaction score
1
Nahitaji anzisha Chama cha kijamii katika Kata yangu ambacho hakitakuwa na itikadi yoyote ya kisiasa, jinsia wala rangi ni kwa ajili ya kuhamasisha maendeleo katika kata yetu. Tatizo nililonalo ni kuwa sijui taratibu za kuzifuata ili kuanzisha huo Umoja wa Maendeleo ya Kata. Naomba kwa yoyote mwenye ufahamu wa jinsi ya kuanzisha na kuendesha Umoja wa maendeleo wa Kata anipe darasa. Thanx in advance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ