jacob wila Member Joined May 20, 2012 Posts 45 Reaction score 6 Mar 11, 2014 #1 Umoja ni nguvu kwenye posho Sent from my iPhone 5 using JamiiForums Attachments ImageUploadedByJamiiForums1394552478.701483.jpg 65.9 KB · Views: 244
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Mar 11, 2014 #2 jacob wila said: Umoja ni nguvu kwenye posho Sent from my iPhone 5 using JamiiForums Click to expand... Mwadhama Pengo alisema hivi kweli watanzania kweli wanadhamira ya kweli? Mnalalamika ufisadi je mkiwekwa kwenye nafasi hiyo hamtafanya ufisadi? Ona wapinzani, makundi maalum CCM leo kwenye ufisadi wa posho wameungana. Wapumbavu, mafisadi, wezi wote!
jacob wila said: Umoja ni nguvu kwenye posho Sent from my iPhone 5 using JamiiForums Click to expand... Mwadhama Pengo alisema hivi kweli watanzania kweli wanadhamira ya kweli? Mnalalamika ufisadi je mkiwekwa kwenye nafasi hiyo hamtafanya ufisadi? Ona wapinzani, makundi maalum CCM leo kwenye ufisadi wa posho wameungana. Wapumbavu, mafisadi, wezi wote!
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,416 Reaction score 9,309 Mar 11, 2014 #3 Tanzania zaidi ya uijuavyo.
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Mar 11, 2014 #4 Uzalendo lazima uwepo kwenye maslahi!