Ummy Mwalimu hivi unajua kuwa ile namba mliyotoa ya 199 kuhusu elimu juu ya COVID19 haipokelewi?

Ile namba ya 199 iliyotolewa na wizara ya Afya juu ya COVID19 haipokelewi hata upige kutwa nzima. Jamaa wanaicheki tu.

Sasa kama simu haipokelewi namba ilitolewa ya nini?
They dont care.
Na sasa hivi wana mabilioni tayari yameshachangwa.
 
hata wakipokea wahudumu wanaongea bass si bora niendelee kuwasumbua customer care voda walau sauti zao nyororo
Acha vurugu. Jifungie ndani, nawa mikono, jipake sanitizer, na ikiwezekana jipake sanitizer kwenye mikono kabla hujatoka nyumbani na ukirudi paka sanitizer.
 
Hahahahaa, Ile simu imeundwa kinamna, inazijua no za mtu anayehitaji msaada na mwenye maambukizi!! na mtu mwenye masihala kwenye mambo nyeti, na ndiyo maana hawajaipokea simu yako mkuu, pole kiongozi
Ile namba ya 199 iliyotolewa na wizara ya Afya juu ya COVID19 haipokelewi hata upige kutwa nzima. Jamaa wanaicheki tu.

Sasa kama simu haipokelewi namba ilitolewa ya nini?
 
Back
Top Bottom