Habari za muda huu wadau wa sport
Naomba kujua hili swala kwa undani zaidi, hii timu inamilikiwq na nani?? swali hili linatokana na maelezo ya kocha wao Ernest,
kwanza hii timu mwanzoni ilikuwa inaitwa singida big stars baadaye ikavadililshwq/kuuzwa na kuitwa singida fountain gate maana yake umiliki wa awali umehama.
sasa nisichokielewa ni hiki mbona mwigulu bado anatajwa kama boss na mmiliki?? kiaje?
mambo ya kutaka mchezaji fulani apangwe na hoja nyingine, hapa tunaongelea umiliki, mbunge na waziri wa fedha anapata wapi pesa zote za kumiliki timu??
au tozo ndio zinaendesha hii timu??
kuna nyingine ile iliyocheza na utopolo jana nayo inahoja kama hii.
karibuni
Bro acha uzwazwa Mwigulu amekuwa kwenye mpira zaidi ya miaka 15 ulopita.pia ana biashara zake kwa hiyo achana nae haikuhusuWaziri wa Furusi...
Fedha zetu ..Kodi zetu...!
Inauma Sana....
Hoja Kwamba anafanyabiashara, mtaji kapata Wapi?
Ucdhan kumiliki timu ni jambo jepec kihivyo,ni biashara gani hyo anayofanya???Inawezekana uyo waziri wakati anamiliki Singida United ulikua bado hauja anza kufuatilia mpira.
Uyo waziri ameanza kujihusisha na mpira wa miguu kitambo sana, kabla hajawa waziri na kuhusu wapi anapata fedha ilo lisikupe tabu.
Jamaa ni mfanya biashara kitambo na fedha anayo na anaupenda mpira.
Tena utajiri wake si wa kurithi kama baadhi ya matajiri wanao jihusisha na mpira kwasasa, amepambana mwenyewe sasa tusiwe na wivu na mafanikio ya watu na kutafuta namna ya kuwapaka matope.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
ChawaBro acha uzwazwa Mwigulu amekuwa kwenye mpira zaidi ya miaka 15 ulopita.pia ana biashara zake kwa hiyo achana nae haikuhusu
Sipo apa kuelezea biashara za watu, wapo watumishi wengi serikalini wanafanya biashara na zinawaingizia fedha nyigi.Ucdhan kumiliki timu ni jambo jepec kihivyo,ni biashara gani hyo anayofanya???
Ndiyo huko nilisoma kwenye gazeti fulani la nchini Kenya kuwaa Kocha wa timu ya wanawake kampa mimba mchezaji?Klabu inayoshiriki michuano ya CAF ni lazima iwe na timu ya soka ya wanawake. Ishu ilianzia hapo.
View attachment 2756589
Hapo lazima kuwe na ukakasi na kwann kila akiulizwa kuwa yy mmiliki kwann anakanusha???Sipo apa kuelezea biashara za watu, wapo watumishi wengi serikalini wanafanya biashara na zinawaingizia fedha nyigi.
Wewe ambaye huna fedha wala interest na soka huwezi kuelewa yeye anacho kitaka
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kapambana wapi mwizi tu yuleInawezekana uyo waziri wakati anamiliki Singida United ulikua bado hauja anza kufuatilia mpira.
Uyo waziri ameanza kujihusisha na mpira wa miguu kitambo sana, kabla hajawa waziri na kuhusu wapi anapata fedha ilo lisikupe tabu.
Jamaa ni mfanya biashara kitambo na fedha anayo na anaupenda mpira.
Tena utajiri wake si wa kurithi kama baadhi ya matajiri wanao jihusisha na mpira kwasasa, amepambana mwenyewe sasa tusiwe na wivu na mafanikio ya watu na kutafuta namna ya kuwapaka matope.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Alipovuliwa uwaziri Mara ya kwanza na JPM timu hiyo ilishuka na wadhamini wore wakaondoka. Unataka kutuambia hela hizo anazipata akiwa waziri tu.Inawezekana uyo waziri wakati anamiliki Singida United ulikua bado hauja anza kufuatilia mpira.
Uyo waziri ameanza kujihusisha na mpira wa miguu kitambo sana, kabla hajawa waziri na kuhusu wapi anapata fedha ilo lisikupe tabu.
Jamaa ni mfanya biashara kitambo na fedha anayo na anaupenda mpira.
Tena utajiri wake si wa kurithi kama baadhi ya matajiri wanao jihusisha na mpira kwasasa, amepambana mwenyewe sasa tusiwe na wivu na mafanikio ya watu na kutafuta namna ya kuwapaka matope.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Utalogwa wewe mnyaturu🤣🤣🤣🤣Habari za muda huu wadau wa sport
Naomba kujua hili suala kwa undani zaidi, hii timu inamilikiwa na nani? swali hili linatokana na maelezo ya kocha wao Ernest
Kwanza hii timu mwanzoni ilikuwa inaitwa Singida Big Stars baadaye ikabadililshwwa/kuuzwa na kuitwa Singida Fountain Gate maana yake umiliki wa awali umehama.
Sasa nisichokielewa ni hiki mbona Mwigulu bado anatajwa kama boss na mmiliki?? kiaje?
Mambo ya kutaka mchezaji fulani apangwe na hoja nyingine, hapa tunaongelea umiliki, mbunge na waziri wa fedha anapata wapi pesa zote za kumiliki timu?
Au tozo ndio zinaendesha hii timu?
Kuna nyingine ile iliyocheza na utopolo jana nayo ina hoja kama hii.
Karibuni
Mtumishi wa umma kitambo sana, huo muda wa biashara anaupatajInawezekana uyo waziri wakati anamiliki Singida United ulikua bado hauja anza kufuatilia mpira.