VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Tatizo la umeya DSM ni administrative failure ya waziri George Simbachawene, awe mkali na kuhakikisha sheria inafuatwa. George inabidi awajibike na awe serious asichezee kazi yake else Rais achukue hatua.Kama kuna sehemu CCM haipo tayari kuachia kidemokrasia,basi ni Urais wa Zanzibar na Umeya wa Dar. Zitapigwa pasi,chenga na danadana hadi UKAWA wasuse. Na wakisusa,sisi tutakula!
Nilikuwa Zanzibar,nimejionea ukweli. Kwamba, CCM ilikataliwa kuliko CUF. Sisemi hapa kuwa CUF walishinda. Hayo ni mambo ya Jecha na ZEC yake. Lakini,hadi leo,kuna danadana za maana kule. Hadi CUF wamesusa. Ingawa hawataondolewa majina yao,sisi kama CCM tutashinda kiulaini uchaguzi wa marudio.
Hapa Dar,idadi ya Madiwani wa UKAWA ni kubwa kuliko ile ya CCM. Kimahesabu,UKAWA watatoa Meya wa jiji. Lakini,kimaziombwe ya demokrasia,CCM yaweza kuibuka na ushindi. Acha sarakasi ziendelee. Hadi UKAWA wasuse. Korogakoroga yaendelea kunoga. Ipo siku,italipa.
UKAWA mkisusa,CCM yala!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
kamanda leo ndo umetia akiri kuwa kususa hakusaidii mbele ya ccm? tatzo wanaukawa ni wabshi mno mkiambiwa rudini kwnye uchaguzi wa marudio zanzbar hamtaki, mnasusa, haya suseni na umeya wa dar muone.Hasusi mtu hapa mpaka kieleweke
Kwa zanzibar nawaunga mkono cuf kususa uchaguzikamanda leo ndo umetia akiri kuwa kususa hakusaidii mbele ya ccm? tatzo wanaukawa ni wabshi mno mkiambiwa rudini kwnye uchaguzi wa marudio zanzbar hamtaki, mnasusa, haya suseni na umeya wa dar muone.
Wa shauri tu kwamba kususa hawatasusa.ULA hicho wanachokifanya sana wanamdhalilisha Rais.Leo ninauhakika ule msemo wa kutumbua Majipu haipo sababu kama Umeya ameshindwa kuingilia kati basi hana nia ya kusafisha serikali.Vingine mshauri tu Rais kwamba tunaweza kumuamini kama akiprove maneno yake ya kwamba yuko tayari kufanya kazi na wapinzani.Sasa tunataka kuiona hiyo.Mwambie hao wapinzani ni binadamu kama Madiwani wa CCM na wabunge wa CCM. Na ni watanzania pia.Aache mambo ya JK na chuki,visasi na viashiria vyake.Approve kama Yeye ni Rais wa watanzania na si wa wanaccm. atupe nafasi ya kuamini maneno yake vingine hatufiki tunakoenda.Atapiga danadana tuKama kuna sehemu CCM haipo tayari kuachia kidemokrasia,basi ni Urais wa Zanzibar na Umeya wa Dar. Zitapigwa pasi,chenga na danadana hadi UKAWA wasuse. Na wakisusa,sisi tutakula!
Nilikuwa Zanzibar,nimejionea ukweli. Kwamba, CCM ilikataliwa kuliko CUF. Sisemi hapa kuwa CUF walishinda. Hayo ni mambo ya Jecha na ZEC yake. Lakini,hadi leo,kuna danadana za maana kule. Hadi CUF wamesusa. Ingawa hawataondolewa majina yao,sisi kama CCM tutashinda kiulaini uchaguzi wa marudio.
Hapa Dar,idadi ya Madiwani wa UKAWA ni kubwa kuliko ile ya CCM. Kimahesabu,UKAWA watatoa Meya wa jiji. Lakini,kimaziombwe ya demokrasia,CCM yaweza kuibuka na ushindi. Acha sarakasi ziendelee. Hadi UKAWA wasuse. Korogakoroga yaendelea kunoga. Ipo siku,italipa.
UKAWA mkisusa,CCM yala!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Washachoka awana mpangoMkuu naona Lumumba mnatupa ndoana ya kususa kwa UKAWA. Hivi inakuwaje mnajivua nguo hadharani na hamjali?
UMESEMA!!!!!!!!!!???????????*******
Kwa misifa yooote anayopewa na wapambe wake MAKUFULI kwa hili la UMEYA WA DAR litafuta uaminifu na uungwana wake. MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU. ajipime kama kweli yeye ni msema kweli.Nadhani JPM anaelewa kwa sasa anatengeneza Chuki na uhasama miongoni mwetu kwa kutubagua kwa itikadi zetu.Sijui kama hakuna Kiongozi yeyote wa dini anayeweza kumshauri hili aache kina impact kwa Taifa.