Umeya wa Dar Utamponza Magufuli

Ndio Maana Kamanda Lisu aliwambia wamezoea vya kunyonga sasa vya kuchinja hawawezi
 
kweli CHAMA CHA MAJIPU-CCM ni hatari ,kama kiti cha umeya wa Jiji hawataki kuachia Zanzibar wataachia Uraisi??
 
Hakuna cha kumponza wala nini yeye anachapa kazi zake kwa misingi ya sheria na haki.
Siku ukizungumza kitu cha maana nadhani itakuwa mwisho wa dunia, afadhali uendelee hivyo hivyo dunia isije fikia mwisho ghafla
 
Namkubali Dr.Magufuli ila kwa mambo matatu yanakera
1.Umeya dar
2.Zanzibar
3.TBC & Bunge.
 
Namkubali Dr.Magufuli ila kwa mambo matatu yanakera
1.Umeya dar
2.Zanzibar
3.TBC & Bunge.
Nampenda mke wangu lakini mambo matatu yanakera:
1. Hapiki
2. Anshinda Bar
3. Anaigawa kama si yake
 
mahakama hizi jmn zina mambo ni lini zitatoa hukumu za haki? eeeh MUNGU tunusuru na jambo hili,
 
aibu kubwa sana inasubiriwa nchi hii kutokana na uchaguzi wa meya wa jiji .
 
Mkuu umechambua vizur sana
Wenye akili na uelewa na tunaopenda haki tumekupata tutakutana mbingun
Malofa ya maigizo yatajifanya hayaelewi
 


Kweli mabadiliko ya kweli hayawezi kuwa ndan ya CC....kama umeya tuu hiv democrasia inabakwa wazi na yy kimya sasa ile mijipu mikubwa tusahau...!!na hii yte n kuficha madudu..mi nilitegemea aache waingie wapinzan ili wamsaidie kutumbua majipu yte ya jiji....
 
Mimi kuna mambo mawili yananishangaza kwanza, ukiangalia kwa makini majipu yote yaliyotumbuliwa ni yale ambayo hayana mawasiliano na chama, ni watu wa kawaida (hawana athari kwenye chama). Suala la pili ni ile kauli ya JPM aliyosema kule Singida kwenye sherehe za CCM kwamba wapinzani waondoe kabisa ndoto ya kutawala nchi hii.Hii maana yake atatumia uwezo na nguvu zake kuhakikisha kwamba anailinda CCM. Hili ni tatizo, ndio maana watu walisema Magufuli ni mzuri lakini kwake itakuwa ni vigumu kubadilisha system ya CCM.LABDA ANAOGOPA NA WAO WATAMWAGA MBOGA KWA KUSEMA KILICHOFANYIKA KWENYE UCHAGUZI. Ingawaje kwangu hiyo siyo sababu cha msingi ni kuongoza kwa mujibu wa haki na sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…