Hiki ni kikosi cha Yanga nadhani 2005 unawatambua wangapi na uwataje! NB:
Vijana mlioanza kufatilia baada ya AzamTv kueni wapole View attachment 2820911
Yanga ya 2005 _ 2007 ilikuwa ya moto kiasi chake. Abuu Ramadhan amokachi, Amri Kiemba, Nsajigwa kipa peter manyika, Doi Moke? Then Smg anakuwa replaced na Ngasa!