Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,367
Visa vya sekondari ni moja kati ya kumbu kumbu zangu ambazo siwezi kuzisahau kirahisi japo nmeshahitimu chuo.
Kuna kipindi nakumbuka shuleni sekondari ukiwa mtukukutu wanampigia simu mzazi wako aje, Kimbembe kipo kwa walimu watavyomshawishi mlezi wako akutie adabu mbele ya shule nzima, Kengele inagongwa wanafunzi wote tunaenda kushuhudia mwanafunzi mwenzetu akishushiwa mvua ya maana kutoka kwa mzazi wake....Nakumbuka kuna jamaa alimkodi mzazi na alikiri kwamba kakodisha mzazi maana yule mzee alimchumia bakora ya mpera na alimhandle sawia sawa sawa jamaa alishout "WE SIO BABA YANGU, BABA YANGU HANICHAPAGI HIVI"