Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Mi ni mmoja wa kati ya wengi nilie bahatika kupita jandoni in early 1990's kama ilivyo jadi ya watu wa kusini.....nilifundishwa mambo mengi sanaa yaliyo nijenga ki maadili ya kimwili na kiakili na yananisaidia sana katika maisha yangu mpaka leo.....mojawapo ikiwa ni kujitambua as a boy, guy,man(husband and head of the house)...
je wewe umewahi kupata mafundisho ya jando/ unyago? elimu uliyo ipata huko inakusaidiaje katika maisha yako ya leo?
napendekeza wazazi jitahidini kuwapeleka vijana wenu wakapate mafundisho ya jando na unyago.
Hayo mafundisho kwa upande wangu naona yanachochea sana vijana wadogo haswa mabinti kuanza kufanya ngono mapema, unakuta wakimaliza tu hayo mafundisho wanataka kufanya practical ili waone kama kweli walichofundishwa kipo sahihi, waulize watu wa ukanda wa pwani haswa Tanga wajua nachoongea nakimaanisha.
Hayo ni mawazo yako hayana uhalisia wowote ule....
Siu hizi dunia imebadilika, ngoma nyingi, Msondo, Unyago, mwanamalindi, mwali zote awachezwi tena abinti wadogo, wanachezwa mabibiharusi wakipata wachumba, kabla ya harusi ndo inafanyikacrash program il u asiende kuaibisha huko. Ie mambo yanapelekwa mzobe mzobe, na kupaka rangi ugoigo! Toka lini binti wa 30 YEARS AKAFUNZWA KUKATIKA KIUNO? Is simply OUTRAGEOUS!!!!!! Kiuno kigumuuu hata kwa mafuta ya mnyonyo akilainiki. iLA COZ NA WANAUME WENYEWE WA SIKU HIZI MAGOGO aaaaaaaaah! NGOMA DROOO! Mke gogo la mnazi, mume gogo la muhashoki! inaitwa TIMES HAVE CHANGED!!!!!!!!!!!!! THINGS HAVE FALLEN APART!
Mimi niehudhuria mtu akichezwa Msondo, MAKUNGWI NA NYAKANGA mafundisho yao naweza kusema ni TOTAL BRAIN WASH! Inamhusha mwanamke mpaka nafasi ya MTUMWA kwa mumewe! Wanafocus AKAE TU NDOANI NA KUDUMU no matter welfare ya huyomwanamke imesimama vipi kwenye hio ndoa. Hata akiteswa akae tu.! Psheeeeeeeeeew!
Not to mention nafasi ya mwanaume inavotukuzwa kama kijimungu flan hivi.!!!!!! "Mwanaume mtunze kama mboni ya jicho, mwanaume hajibishwi, mwanamke ukigombezwa kaa kimya, blah! blah! blah!" Its totaly against the SEPTEMBER 1995 BEIJING WOMEN CONFERENCE and a total shame to women race!!!!!!!! A woman is AN EQUAL HUMAN BEING!
I AM GALD THESE TABOOS, NORMS AND CUSTOMS ARE GOING DOWN FOR GOOD!
Unawaongelea wamakonde au? maana wao naona hiyo inaendelea hata huku mjini sehemu ambazo wamejikusanya wao wenyewe hii kitu inaendeleaMmmh! Kuna kabila moja vitoto vya kike vikianza kuota chuchu tu ama kuvunja kipepeteo wanawekwa ndani sasa siku ya kutolewa nje mmmh jamani eti wanafungwa kanga tu chini matiti yote nje afu mbele ya kadamnasi sasa sijui baada ya hapo kinafuata nini??