Wakuu kuna mtu kanipa hii link "Earn some dollars online click JamiiForums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job from home" , je umewahi kujaribu hii kitu? Does it really works?
Hao wezi mi washaniweka nikafanya kazi zao mwezi mzima nashangaa kila nikiwataka kudownload form yao ili nipate fedha zangu wananiambia hamna offer ya Dar es salaam.
Hao wezi mi washaniweka nikafanya kazi zao mwezi mzima nashangaa kila nikiwataka kudownload form yao ili nipate fedha zangu wananiambia hamna offer ya Dar es salaam.[/Q
duh