mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,966
Ushuhuda bwanA hapa nilipo nipo njia panda baada ya kutongoza demu kumbe nilishawahi kuwa na mahusiano na demu ambaye Ni rafiki yake. Halafu sikua najua Kama wanajuana.Wewe ungetoa ushuhuda wako kwanza wengine tuendelee......
pole sanaUshuhuda bwanA hapa nilipo nipo njia panda baada ya kutongoza demu kumbe nilishawahi kuwa na mahusiano na demu ambaye Ni rafiki yake. Halafu sikua najua Kama wanajuana.
Sasa nilipochoka Ni pale alipouliza
Kwani uliachana na dada Fulani??
Duuuuh
Nkasema umalaya huu hatar... Ila maadam ameshajua nitamkazia mpaka nimle
Asante bwanA MKUYENGE[emoji3][emoji3][emoji3] lakini huyu lazima nihakikishe nampiga MKUYENGEpole sana
kama utamshindwa usisite kunipasia mpira.Asante bwanA MKUYENGE[emoji3][emoji3][emoji3] lakini huyu lazima nihakikishe nampiga MKUYENGE
Sawa mkuu. Nitaleta mrejesho baada ya mda mchache tuu. Kaa tayarykama utamshindwa usisite kunipasia mpira.
Kama ulisha achana na wakwanza sioni tatizo hapo.Ushuhuda bwanA hapa nilipo nipo njia panda baada ya kutongoza demu kumbe nilishawahi kuwa na mahusiano na demu ambaye Ni rafiki yake. Halafu sikua najua Kama wanajuana.
Sasa nilipochoka Ni pale alipouliza
Kwani uliachana na dada Fulani??
Duuuuh
Nkasema umalaya huu hatar... Ila maadam ameshajua nitamkazia mpaka nimle
Bado Ni kiporo, sijaacha rasmi mkuu.Kama ulisha achana na wakwanza sioni tatizo hapo.
kwanini mkuu. Hebu share nasiNilishaga wahi kugonganisha magari mtu na rafiki yake.
Aiseee!!..hiyo siku ilikuwa tamu sana kwangu.