J Jeep rubicon JF-Expert Member Joined Jan 7, 2023 Posts 737 Reaction score 1,450 May 4, 2023 #21 k-bee said: Umetisha saa janja Click to expand... poa poa
k-bee JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 975 Reaction score 1,108 May 4, 2023 Thread starter #22 Melvine said: View attachment 2609567 Click to expand... Kitu ya motoo hii
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,183 Reaction score 102,961 May 4, 2023 #23 Antonnia said: Nilivosomaga ule uzi wa Umu kuhusu watafutaji pesa kwanjia za waganga kwa kupewa bangili au pete kila nikikutana na mtu mwenye Hivo Vitu Huwa namuangaliaaaaaaaa! Click to expand... Hata ambao hua hawana hivyo vitu mkononi pia hua unawaangalia na ndio maana hua unagundua kua wao hawana hivyo vitu mikononi mwao. 😎😎
Antonnia said: Nilivosomaga ule uzi wa Umu kuhusu watafutaji pesa kwanjia za waganga kwa kupewa bangili au pete kila nikikutana na mtu mwenye Hivo Vitu Huwa namuangaliaaaaaaaa! Click to expand... Hata ambao hua hawana hivyo vitu mkononi pia hua unawaangalia na ndio maana hua unagundua kua wao hawana hivyo vitu mikononi mwao. 😎😎
k-bee JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 975 Reaction score 1,108 May 4, 2023 Thread starter #24 Mshana Jr said: Hirizi picha hapana Click to expand... Chochote ulichovaa.....all in all karibu mtaalaaaamuuu mheshimiwa
Mshana Jr said: Hirizi picha hapana Click to expand... Chochote ulichovaa.....all in all karibu mtaalaaaamuuu mheshimiwa
J Jeep rubicon JF-Expert Member Joined Jan 7, 2023 Posts 737 Reaction score 1,450 May 4, 2023 #25 k-bee said: Nmelipenda hilo ua Click to expand... thanks🙏
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,360 Reaction score 91,912 May 4, 2023 #26 Nothing
k-bee JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 975 Reaction score 1,108 May 10, 2023 Thread starter #27 To yeye said: Nothing Click to expand... Tuone kama nothing
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,713 May 10, 2023 #28 SIPENDI MKAKA AVAE MABENDERA SIJUI NA TAKATAKA GANI MKONONI. SAA TU INATOSHA
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,360 Reaction score 91,912 May 11, 2023 #29 k-bee said: Tuone kama nothing Click to expand... 😂😂😂👊
k-bee JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 975 Reaction score 1,108 Jul 22, 2023 Thread starter #30 Mtz halisi.....!! Naipenda Tanganyika naipenda zanzibar
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,708 Reaction score 51,121 Jul 22, 2023 #31 k-bee said: Rejea kichwa cha uzi mwanaJF umevaa nini mkononi..Tupia kwa uzi View attachment 2609384 Click to expand... Kwa hiyo ndio umeona umependezaaa mpaka utuonyeshe😁😁😁😁?
k-bee said: Rejea kichwa cha uzi mwanaJF umevaa nini mkononi..Tupia kwa uzi View attachment 2609384 Click to expand... Kwa hiyo ndio umeona umependezaaa mpaka utuonyeshe😁😁😁😁?
k-bee JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 975 Reaction score 1,108 Jul 23, 2023 Thread starter #32 Joannah said: Kwa hiyo ndio umeona umependezaaa mpaka utuonyeshe? Click to expand... Tupia chako....tuone naww ulivyopendeza
Joannah said: Kwa hiyo ndio umeona umependezaaa mpaka utuonyeshe? Click to expand... Tupia chako....tuone naww ulivyopendeza
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jul 23, 2023 #33 k-bee said: Rejea kichwa cha uzi mwanaJF umevaa nini mkononi..Tupia kwa uzi View attachment 2609384 Click to expand... Sumsung smart watch....
k-bee said: Rejea kichwa cha uzi mwanaJF umevaa nini mkononi..Tupia kwa uzi View attachment 2609384 Click to expand... Sumsung smart watch....
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,708 Reaction score 51,121 Jul 23, 2023 #34 k-bee said: Tupia chako....tuone naww ulivyopendeza Click to expand... Rolex-Oyster perpetual (superlative chronometer)hapana chezea 🤣🤣🤣
k-bee said: Tupia chako....tuone naww ulivyopendeza Click to expand... Rolex-Oyster perpetual (superlative chronometer)hapana chezea 🤣🤣🤣
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,713 Jul 23, 2023 #35 kabanga said: Sumsung smart watch.... Click to expand... Sumsung tena 😅
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,269 Reaction score 71,934 Jul 23, 2023 #36 Jeep rubicon said: Kama hiyo au nipige tena😂View attachment 2609493 Click to expand... Penseli 4
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Jul 23, 2023 #37 mshamba_hachekwi said: Penseli 4 Click to expand... 🤣🤣🤣 Dogo vipi
mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,082 Reaction score 4,235 Jul 23, 2023 #38 Penseli 4 said: 🤣🤣🤣 Dogo vipi Click to expand... unajifanya huelewi sio😂
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Jul 23, 2023 #39 mjanja_hajioneshi said: unajifanya huelewi sio😂 Click to expand... Huyo si nilishakuambia ni demu ukawa huelewi Out of topic: Naona unataka kuiga step zangu za kuwa na id nyingi. Tumia akili
mjanja_hajioneshi said: unajifanya huelewi sio😂 Click to expand... Huyo si nilishakuambia ni demu ukawa huelewi Out of topic: Naona unataka kuiga step zangu za kuwa na id nyingi. Tumia akili
mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,082 Reaction score 4,235 Jul 23, 2023 #40 Penseli 4 said: Huyo si nilishakuambia ni demu ukawa huelewi Out of topic: Naona unataka kuiga step zangu za kuwa na id nyingi. Tumia akili Click to expand... hii ni backup nilipewa warning juzi, naona ile nyingine iko hatarini😂
Penseli 4 said: Huyo si nilishakuambia ni demu ukawa huelewi Out of topic: Naona unataka kuiga step zangu za kuwa na id nyingi. Tumia akili Click to expand... hii ni backup nilipewa warning juzi, naona ile nyingine iko hatarini😂