Nina wazo la kununua vodacom smart kitochi wakati nkijipanga kupata smartphone nyingne, kwa mliotumia vip ubora wake? Au simu gani ya batan naweza kununua isiyozidi 45 elfu?
Asante.
Nilitumia cha tigo kikastuck mara 3 kila kikistuck inabid upeleke tigo shop nikapiga chini.
Nikachukua ya voda nikatumia sana ikavimba betri,nikatafuta betri kkoo nikakosa nako nikatupa.
Nina wazo la kununua vodacom smart kitochi wakati nkijipanga kupata smartphone nyingne, kwa mliotumia vip ubora wake? Au simu gani ya batan naweza kununua isiyozidi 45 elfu?
Asante.
Nina wazo la kununua vodacom smart kitochi wakati nkijipanga kupata smartphone nyingne, kwa mliotumia vip ubora wake? Au simu gani ya batan naweza kununua isiyozidi 45 elfu?
Asante.
Viko poa xna kwenye internet maana ni 4g kweli ..ila usitegemee kukitumia mda mrefu xnaa...cm ya 45 elfu yenye 4g alaf utake kua sawa na aliyenunua smart ya laki mbili ebu kueni serious ukiona mtu anaziponda bhc akil zake hamnazo