Ehud JF-Expert Member Joined Feb 12, 2008 Posts 2,685 Reaction score 338 Dec 8, 2010 #1 Marekani walitengeneza mtambo wa kugundua wezi,Wakafanyia majaribio kwa nchi nne za africa . South Africa ulichukuwa siku saba ukakamata wezi wanne, Nigera siku moja wakamatwa wezi 30, Kenya ndani ya masaa 6 wakamatwa wezi 69 na Tanzania ndani ya saa moja tu na mtambo wenyewe ukaibiwa......duh
Marekani walitengeneza mtambo wa kugundua wezi,Wakafanyia majaribio kwa nchi nne za africa . South Africa ulichukuwa siku saba ukakamata wezi wanne, Nigera siku moja wakamatwa wezi 30, Kenya ndani ya masaa 6 wakamatwa wezi 69 na Tanzania ndani ya saa moja tu na mtambo wenyewe ukaibiwa......duh
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,387 Reaction score 10,964 Dec 8, 2010 #3 Duh! Kali ya leo. Nafikiri baada ya nusu saa hata hao waliokua wanafanya majaribio wangeibwa!
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,314 Dec 8, 2010 #4 hmethod said: marekani walitengeneza mtambo wa kugundua wezi,wakafanyia majaribio kwa nchi nne za africa . south africa ulichukuwa siku saba ukakamata wezi wanne, nigera siku moja wakamatwa wezi 30, kenya ndani ya masaa 6 wakamatwa wezi 69 na tanzania ndani ya saa moja tu na mtambo wenyewe ukaibiwa......duh [/list] Click to expand... Naona TZ haukufika hata katika ofisi ulikotarajiwa. Kama ulitoka air port na hizi foleni uliibiwa maeneo ya tazara au palepale airport wakati wa kuutoa.
hmethod said: marekani walitengeneza mtambo wa kugundua wezi,wakafanyia majaribio kwa nchi nne za africa . south africa ulichukuwa siku saba ukakamata wezi wanne, nigera siku moja wakamatwa wezi 30, kenya ndani ya masaa 6 wakamatwa wezi 69 na tanzania ndani ya saa moja tu na mtambo wenyewe ukaibiwa......duh [/list] Click to expand... Naona TZ haukufika hata katika ofisi ulikotarajiwa. Kama ulitoka air port na hizi foleni uliibiwa maeneo ya tazara au palepale airport wakati wa kuutoa.
KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,943 Reaction score 9,456 Dec 8, 2010 #5 Hii yako umeichelewesha sana!!