nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
...usukule huo....
kujikubalisha kudhani kwamba bila yeye hakuna tena maisha...
mtu anakujengea imani kwamba ati either yeye afe (ajiue) au wewe
ufe au mfe wote sababu ya penzi...
ujinga mtupu!
sikatai kwamba watu wanauana au kufa sababu ya mapenzi, alkini hiyo ni
dalili tosha ya mtu aliyeshindwa kujitambua thamani yake kiasi kwamba
anaona maisha yake yameshikiliwa na mwingine.
mwanaume huyo anayetishia kumuua huyo binti, usikose naye tayari keshamjaza
maneno huyo binti kwamba atajiua akiachwa....hahhhh!? mapenzi si upofu, ni kuchagua kutoona!
we unaishi dunia gani? Kwanza umesoma mada vizuri?
part niliyoipenda ni hiyo ya wewe kumuomba dada yako akukuwadie...unasubiri uletewe jibu la ndio? man up and face the lady kama kweli wampenda....
bora wewe mkuu umeliona hili. Na wanaosema nashindwa kujitafutia hawajui kuwa mahusiano yana njia nyingi tu za wawili kukutana. Haijalishi ni mdogo mtu kaunganisha. Mbona kuna wazazi wanawaunganisha wanao na wana wanaishi vyema tu? Sembuse mi na mdogo wangu, tena si wa kuzaliwa.
lengo la mimi kuleta hichi kisa ni kuona jinsi gani wanawake wasivyo na maamuzi ya ziada kwenye mahusiano. Hilo tu
Naishi dunia hii hii uliyopo wewe.
Yaani unamwambia dada yako " mshawishi wawachane", kisha useme hukuwa na nia ya kumvunjia mahusiano yake?
nilisema hivi, kama ana mchumba, basi. Lakini mdogo wangu akafunguka baadae na kuniambia kuwa mahusiano ya rafiki yake hayana amani. What next?
Mimi sioni tatizo; hata mimi I wish kaka zangu wangeoa one of my friends ambao nawajua kitabia na mvuto; It depends wewe na dada yako mnaelewana kiasi gani; hao wengine siwashangai pia; inategemea malezi walolelewa; they might be not close na ndugu zao.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMkuu ukijiangalia vizuri utagundua kinachokufanya useme hvyo ni vile umependa. Ila sikuzote mambo ndo yapo hvyo. Good girls love bad boys!
umempenda au umemtaman?iwahenga walisema vita ya panzi furaha ya kunnguru. Kwa upande wangu suluhu kati yao ni kuachana naye aje kwangu.
hajui kua mbinu kama hii itatatumika na wengine pale wanapokuja kukorofishana, mtu yoyote yule anayeshawshika kirahisi namna hii lazima tu watakuja wengine wamshawishi aachane nae, ye anafikiri mapenzi ni kitu rahisi kama ukimpatas basi ndo kazi imeishaKwa nini umshawishi mtu awachane na mwengine? Kwanini usitake ashawishiwe kutafuta ufumbuzi wa matatizo yao?
hapo nakukatalia. Huyo jamaa ni ant social. Jamaa anatumia zaidi vitisho kuliko adventure. Labda hiyo tafsiri ya bad boy umeigeuza. Kuna bad boys kwa maana ya adventure katika mapenzi na kuna hawa aina ya huyu jamaa
I am a good girl (very good in fact) and I hate bad boys. inatokea mkuu. Na kama mtoa mada anampenda kweli huyo dada basi awe hero wake kwa kumset free from that man.
Hata kama anatumia nini ndugu yangu, we muone huyo binti jenga nae mazoea huku ukimuonyesha anachokosa kwenye mapenzi ya kweli afu atapima mwenyewe kwa kukulinganisha na jamaa yake,
ok ila we ndio unaelewa zaidi situation yako.. Na kama mpaka sasa hujapata mawasiliano ya moja kwa moja na huyo binti hebu labda na wewe nisaidie, kweli binti huyo atoke kwa jamaa ake na kuja kwako yaani kama anabadili magari tu? Chukua nafasi mkuu muonyeshe hzo adventure.
Ni hayo tu mpwa!
Unanisimanga au unanipongeza? it is not clear... maana siku hizi GG wanaonekana wajinga, bad girls ndio wajanja...Ahsante Good girl! Atleast umekubali kuwa kuna exception case na mimi jicho lilikuwa huko tu nkasahau kama kumbe kuna watu kama RR ambao ni GG!
Heshima yako mkuu
Hebu acha kunivunja mbavu mie hahahaha...Unanisimanga au unanipongeza? it is not clear... maana siku hizi GG wanaonekana wajinga, bad girls ndio wajanja...