Hii ilinikumba 2016, nikiwa chuga! Huyu dogo nilimwopoa through Social Media tukajenga mazoea coz tulikuwa tunachat daily! Nikampanga weekend tukakutana town, tukakaa somewhere akala viepe yai akapiga soda!
Nikampa 20,000/= akalipie logde kisha anishtue through simu! Ilikiwa jirani na location tuliyokuwepo! Nikamsubiri dakika 20 nikaona kimya kumpigia hapatikani! Nikajua nimeliwa!!
Hebu tupe mkasa wako ulikuwaje!?