PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Aisee hili tumbo huwa ni shida na cjui kwanini huwa linahisiana na kijasho chembamba nakumbuka kuna siki nlikuwa kwenye mizunguko yangu likanishika nikiwa mijin alafu sehemu niliyokuepo hakukua na choo cha kulipia nilipata shida nakimbia huku jasho jembamba linanitoka nikaingia nyumba moja nikakuta wadada wanapiga story sikumbuki hata kama niliwasalimia mojamoja bila kupoteza mda nkiuliza chooni ni wap ile kuingia tu nikauachia mzigo huko nje nasikia wale wadada wananicheka kinyama sitakaa ni sahau hii siku je wewe ulishawahi shikwa na hili tumbo na ulikuwa wap